Maendeleo ya Kazi



Madarasa ya Vikundi vya Kujitegemea
Tafuta Kazi Bora - pdf mwongozo
Kuanzisha na Kukuza Biashara Yangu - pdf mwongozo

Ili kujiandikisha kwa Darasa ama kwa habari zaidi:
Wasiliana na Askofu au Rais wa Tawi lako

Tovuti ya AJIRA ya Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho (Kiungo)
In English

Maendeleo ya Kazi
Kawaida: Kila kijana hupokea shauri la kumsaidia kuchagua kazi ambayo anaweza kutumia
vipaji na ujuzi katika ajira yenye maana. Kila mtu anachagua wito unaofaa
na kuwa stadi kupitia mafunzo yanayofaa.


Malengo Yanayopendekezwa:
a. Boresha ujuzi wako wa kazi.
b. Jifunze biashara au taaluma.
c. Eleza na ufuate mpango wa kujiandaa kwa kazi yako.
d. Panga kufanya kazi yako vizuri.
e. Wafundishe watoto ujuzi muhimu na kufurahia kazi.
f. Nyingine: